
Strategy 5 Za Ku-price Products/Services Zako!
1.Cost Plus Pricing Selling price ya product huwa determined na cost ya kila unit/piece, the unaongeza kakitu juu yake. Uki-set bei yako hivi, uta-manage kuuza product/services zako at a profit.
-
Competitive Pricing Hii ni ku-set price yako in comparison na za competitors wako, na huwa ina-follow bei ya product/service kwa soko. Lazima upige research on market prices set by competitors, then unacheza kama wewe ku-attract customers wako. Sometimes, unaweza set price chini kiasi au juu depending on the price kwa market.
-
Premium Pricing Ku-set price juu kabisa ndio target customers wa-feel value ya product/service ina-match status na inafaa kuwa hivyo. Hii strategy pia inaitwa Prestige or Luxury price. Example poa; prices za "Camera Mtumba" items.
-
Geographical Pricing Prices za product/service huwa set based on location biz iko. Before u-set price yako, ni muhimu ufanye review ya location, ujue area iko aje na kama customers watafika bei. Ku-get sales fiti, make sure umeseti prices zako vile inafaa.
-
Psychological Pricing Hii unacheza tu na maneno au numbers, ku-increase sales zako. Ni common tactic na inaitwa "Charm Pricing", yaani una-set price yako ending with 9, 99 or 95 kufanya ionekane ni cheaper than usual. Hii strategy huwa ina-work coz customers wengi huona bei haiko juu sana.
š¤Unatumia strategy gani ku-price vitu kwa biz yako?
