
STREET / BOOK SMART
Nimekuwa kwa field, I won't classify myself under 'Street Smart' rather book smart, but I know someone. Charles Ode, boy flani ako hapo kwa videos za ShujaazBiz, yeye ukuwa street smart. Sisi u sometime do ka partnership biz na yeye. With his great talent ya kuget into peoples mind and ku'mingle na all types of street challenges yeye ame prove kuwa one great salesman I know. Hii ututoa kwa so many biz challenges from Karao, Kanju, clients vichwa ngumu and all that, something yenye inaeza kuwa hard kwa msee ako booksmart.
But sasa mimi ukuja na better ways za ku run hii biz, ku improve, smart easy hacks, record keeping, strategies, avoiding working in circles and the technical know how ya biz yenyewe. Hii ndio imetuweka a float and ahead ya so many competitors wenye ukuja and wanashindwa wanaondokea.
So kwa biz lazima this two talents zikuwe matched kama una run sole biz, we get close guy mwenye is the opposite of you akuchapage ma advise otherwise uki rely na moja itakuwa so hard sana. Though ni figure terms, Street Smart 60% Book Smart 40%.
#Biz