
Street food biz imeshika kila place especially na hii weather ya rain; but kuwa creative itafanya customers warudi baze yako kama unafanya hii biz.
Ni gani watu wanapenda sana?
- Smongwashe
- Smocha
- Sambuyai
- Smova
- Smokie pasua
- Smomena
Weka yako kwa comments kama haiko kwa hii list.




0
0
0