
Street food naeza uza ni samosa na bei huanza 5bob each Kwa kila samosa because watoi wamefunga shule .. wengi hupenda fast food so nitauza samosa ya ndengu then pia ya viazi na juu ya mayouths nitaongeza ya nyama but za nyama zitakuwa bei different .. kama 20/= each coz
0
0
0