Sunday Gor inacheza game ya mwisho for the season..hapa kuna biz opportunity kama uko within nairobi coz mafans watakuwa kibao. White handkerchief,,cap or hat,jersey na pia vuvuzela zitakuwa in demand sana ata masnacks na drinks