Supplier wako anaeza kujenga ama kuangusha Sana, skiza tips Alex hutumia ku-handle dispute na suppliers wake. Issue kubwa zaidi yenye u-lead to disputes na suppliers huwa gani? #ShujaazBiz #Lindafam