
Survey the market first ndio ujue pricing ya competitors, then reach out to customers ndio ujue there views then angalia pricing ya suppliers wako after this utakua umejua dooh unatumia kuacquire stock na vile competitors wako. Through this ni easy kuprice vitu zako in a way that utamake profit na at the same time create a healthy competition bila biz kuanguka
0
0
0