Survival tactic ya kuishi area inakosa maji area nzima ni gani, especially kama mtu ni mgeni hiyo area na ana familia ndogo ama yuko solo?