
TAILORING BUSINESS:
Every month ama every day kuna msee atadai services za Tailoring around area yako, in order to stand out lazima kazi yako ikue safi, So this year uko na hiyo potential stand out no matter the current situation. Hapa kuna tips kadhaa zenye na believe zitaokolea mahali.
-
Update yourself na current trends, Nipoa kuenda training ama kuinvolve yourself na tailoring community ndo ikuhelp ku grow skills zako.
-
Tafta supplier wa materials mwenye ako reliable, build good relationship na yeye, Mostly kikiumana atleast anaweza kupea backup na support.
-
Marketing- Ukidai kuenda beyond area yako ni poa ku identify good marketing platform ya service yako, unaweza chagua kama tiktok na ku create video content ya bizz yako na pia ku offer tutorials.
-
Nipoa kufind your Nitch remember sio kila msee anaweza shona wedding gown, ama suti, Nipoa ku spcialize in area unajua utakua comfortable with and practice on it, find your skill level and stick there.
-
Kua na plan ya your working hours and the opening days this will help you kukua organized.
Share more tips hapa kwa comment section:
