Tajiri anapokuwa mgonjwa, maskini humtembelea na kumfariji ugua pole upone haraka, maskini anapokuwa mgonjwa, hujiliza, na kujiuguza mwenyewe. Anapopata nafuu huenda kwa tajiri na kumwambia amekuwa mgonjwa - Chinua Achebe