
๐ Talanta inalipa hapa Kenya?! ๐ค
Leo ndani ya #MESHKonnect @[Itotia Karanja] chairman/manager wa KIBARAGE Football Clubโฝ๏ธatatuchapia experience yake ya ku-manage talanta mtaani na vile talent ina-help ku-reduce crime kwa community! ๐ Show itakua moto sana!! 2pm Sharpโฐ Kama kawaida host wetu ni @[Captain Ashok] ๐ฅ๐ฅ Ungependa ku-learn nini kuhusu #Biz ya football?
0
0
0