Talent naye ukiweka consistency utapata breakthrough ingine fiti sana Nimecheki online kuna young kid wa 3 yrs old (Nevada)anatrend juu ya football!jamaa alikuwa afunga bao after bao coach akaona ni vizuri amtoe lakini hapo ndio mambo ilienda south.
We kama mzazi unasaidia mkidi wako kudiscover talent/gift yake ama ni yeye atajulia mbele?
0
0
0