Tangu corona ianze maze sanitization imekua tricky,macustomer wakiungia kinyozi wanapata hakuna maji hakuna soap so hanabwaga, kubuy sanitizer imekua noma wasee wanaenda tu.