Tangu hii story ya covid ikuje na nikalearn about mesh ,kwa Ile help kidogo nilkuwa napata nao ya 3k nilimanage nikasave na nikaweka kuku ndege na Bata na bdo ndio hustle natry kuimanage ...though ikona risks zake mingi nmekuwa nikifollow up polepole how to grow it and najua one day nitakuwa na a happy ending ...
0
0
0