Target: Students wa TUM
Unaweza taka hustle ya kukuongezea pocket money. Nitafute tufanye job pamoja. Huwa Niko na hustles mob na this time Kuna hii ya Rida taxi.
Wanatafuta scouts. Kama unajijiua unaweza tembea ☺️☺️☺️ kwa jua ya Mombasa na pia unajua ku vybes na watu, hapa Kuna chance ya ku make extra $$$. Malipo ni every week.
P/S Biz si yangu....🙌🙌🙌
0
0
0