
Team Catering & Hospitality, kuna new Ugali making procedure in town. Wanaita "Bolibo". Weka unga kwa moto, cook it in slow heat till itoe harufu poa kama ya cake au biscuit. na e-turn somehow Brown. Now chukua maji imeboil, add slowly as u stir till fine.
Would you: š½ Give it a try š½ Stick to kawaida procedure? š½ Depends na kaunga kanatoshana aje?

0
0
0