
TEAM YETU YA CARPENTRY
Customer akicome na problem anadai kujengewa dinning table, huwa mna msort kiaje according to their expectations.
- Do you Consider the size of the Dining room.
- Ama mna consider the size of the family member customer ako nao kejani ?
Ebu nichapieni hapa kwa comment section nikae rada. 👇👇👇👇👇👇

0
0
0