
Tech creatives 👨💻
💡AI training imekuwa hustle ya wasee most kwa tech this recent days, unapata account popular za freelancing zinapeana job za AI, because we are on a global race ya AI ku_understand humans,
💡 Kenya profile account pia unapata inapeana kazi, Bora ucheze na CV kiasi and clearly state what you can offer your good to go, ofcourse you will receive a few tests before upewe job but iyo ni part of the process you don't expect kila kitu ku_work out for free pia wewe 🤔,
💡 Mindrift ni one of the local profile ikieza enda through unaeza pewa job na inalipia kitu 8dollars per hour, bora ukona laptop na internet connection you can try your luck, link ndio iyo hapo chini, meshers mnaeza changamka,🤞
💡https://mindrift.ai/roles/w...
🤔 Ofcourse you will need to get creative around the problem, na kujituma kiasi kufanya research hapa na pale ndio ujue what to do.......kazi kwenu Sasa💯
