Tech imekuwa dope, lakini ku-get msee anakuskiza au client ilikuwa ngori – hadi nikaingia MESH. Hapa nimepata ma-tip legit, watu wako na moyo ya kusaidia, na nimepick 2 gigs juzi juzi! 💻🔥
Lesson kali nililearn: usijenge tu kitu cool, jenga kitu inasolve shida ya msee. Hapo ndo game yangu ilibadilika.
Kama uko tech ama una-hustle, MESH ni place yako. Tukue pamoja, tushine pamoja! 🌟
#TechHustle #MeshSquad #JengaNaGrow#digitalskills#thefutureworksonline

0
0
0