
TECH SCAMS,
vile technology inadvance na wasee wanaitumia daily kuserve clients wao , scammers pia hawajaachwa nyuma so ni responsibility yako kukuwa rada na usitrust kila kitu online .
Some of the ways scammers utumia ni :
1.phising emails -unapata email fate ya msee anajifanya supplier ama service provider wako,unapea details sensitive, 2. Fake support team - msee anakucall akijifanya support team ya kampunii Fulani, 3.fraudulent software download - kuwa rada na software unadownload online mingi ukuwa harmful na zinaeza tumika kuiba info sensitive kwa device unatumia ,
Kuwa rada na interactions unamake online tech ni field fitie ya kuincrease efficiency ya biz but pia inaeza kuwa hatari be careful kama kuna any tumebakisha ongeza hapo kwa comment section 🙏💪 #Kaa Rada
