
Tech Time Capsule – The Gadgets That Raised Us! Wasee, kuna gadgets tulikua nazo kitambo zilikua noma, lakini sai zimepotea kwa game!
1.CRT TV + DVD Player – Ile combo ya "Press Play, Rewind, Repeat!" Hakuna Netflix, just pure patience! 2.Kabambe (Nokia 3310, Motorola, etc.) – Charge once, tumia wiki mzima! Sai smartphones zina struggle hata ku-survive siku moja. 3.Video Cassette Recorder (VCR) – Ku-rewind cassette na pen ilikuwa skill ya maana! 4.Game Boy/Brick Games – Mchezo wa Snake na Tetris ulikuwa serious business.
Ni gadget gani unakumbuka na inakufanya uhisi nostalgia? Drop your favorite in the comments
0
0
0