
TECH TIPS
Kama kawa mimi nikuwajenga na tech tips za kukuwa productive kwa biz yako. Na leo will focus na ways za ku maximize productivity yako ukitumia windows platform, especially Win 10 & 11.
š» Kuget emoji kwa windows click windows key + . (dot) š» Kucopy screenshot kwa clipboard Alt + PrtScn š» Ku copy several stuff the paste once ctr + c kwa kila item then Windows + v itakuwa all items copied so una paste bila kurudi rudi kwa previous window.
Hizo ndio tips za lao keep on thie page for regular post za kukuchanua na tech. #Tujijenge

0
0
0