
TECH TIPS
Kwa hii group sisi u'okoleana na Tech tips zenye zinahelp ku run biz zetu efficient. Kama uko na more tuchapie ndio we grow or glow together.
*Kuchapa Remote Desktop, kufanya two things at once. Mimi utumia Chrome remote Desktop, ni easy and iko hadi na app kwa android. So incase niko far from either comp ya keja ama ya biz naeza access ka na travel and ku complete certain tasks.
-
Kuwa na Password Managers. Saa hizi kuna so many sites needing registration, some zina call for certain characters, na hapo ndio hizi apps zina offer easier way ya ku store password za site most za biz.
-
Kutafuta certain Content on specific site; kwa producers ama wasee wa phone repairs najua hii itakuwa helpful. We all have favorite site za kudownload lets say ROMs amd VST. Hizo zites ukuwa na hundreds of hundreds of content so ukidai ku search lets sat ROM ya kadunda kwa site ya roms.com from google una search "site:roms.com Kadunda Rom"
Thats it kwa leo keep Tech group ku learn ways za kuwa productive kwa biz na tech tips.
#TechTips #BizTech #TechHacks
