Testimonials:-
Kama wewe ni entrepreneur , hakikisha clients wako kadhaa, wameku-boost kwa kupeana credible testimonials.
Hii ni evidence ya wao ku-try product yako na wamei-rate na kupeana honest feedback.
This is what new customers look for, an honest review of your service and products. It also builds credibility.
For example:-Hiyo sembe ya Mama Oliech, ina slurp! Wacha tu! Kwanza usindikishe na wet-fry samaki🦈 kisha uteremshe na Pilsner🍺🍻 baridi , wuehhh👌🏽....sisemi zaidi. Gotta try it for yourself.
This will keep new customers rolling in, 'coz it's honest reviews, straight out of a customer's mouth.
0
0
0