Thanks kwa hizo engagement zenu najua sisi Kama MeSHers huwa tukona the best ideas ever. So Kenya imeweka AFCON bid na if ita succeed, mnadhania our football levels Will improve ama hakuna hopes