Thanks Mesh kwa hii opportunity. Mimi on my side kabla nichukue loan lazuma niangalie interest yenye inafaa kurudisha nikianza kuservice hiyo loan.Unaweza kuwa ukona biz poa but land interest inakuwa juu sana wakati unalipa dooh unapata hauwezi save hata anything. So am urging you guys check on the interest rate and the duration you are supposed to pay the loan first...and most of all don't take a loan just because its being given out,chukua loan coz unajua unataka kufanyia nini,naunajua utailipa aje...anyway that's my opinion.
0
0
0