Thanks Mesh. Naona hii ni project fiti sana ya kujenga mavijana, na si ati ni mavijana pekee juu empowering a Youth is investing in the future society. We are biulding a brighter future ahead.
Mimi kitu naeza encourage mayouth wenzangu is that there is nothing more to life like having financial stability. No money, no talk and thats how the world runs. Ukiget mse anakuboost kukumake financially stable rudisha mkono. Kama ni Loan, utilise it to the maximum and try as much as possible kulipa juu there is a high possiblity you will need it once again ama kuna mse pia anaitaji kubenefit from it the next time.
Izi opportunities za Loans and credits ndio zitatuhelp kufix life zetu uku mtaani.
0
0
0