Thanks sana mesh na eneza kwa kunipea loan sai biz yangu ime expand niko na stoke poa.niliongeza doh kiasi nilikua nazo plus loan yenu sai biz iko shwari thanks sana #MimiNiHustler