Thanks Sana watu wa shujazz kwa kutueducate about biz and how to save, Bytha Mimi kutoka nijue kutrack doo zangu biz inaenda Poa na atleast Saii naeza save.kitu ingine nadai kujua ni Nani anajua venye naeza fungua betting shop kwa mtaa
0