
Thanks to AI & tech advancement msee saa hii anaeza map number ya safaricom na akupigie kama yeye ni Agent wa mpesa, before you know it umeoshwa float yote, just be careful to double check na usipeane info yeyote sensitive especially hii wiki ya customer service. Cheers 🥂

0
0
0