
That Amount (Ksh.15,000) ni pesa fiti sana : Woshy atafute place Iko pouwa.
: Place Iko secure , karibu na shule especially Poly, au Uni. Madem wengi na maboys hupenda slides especially hizi new models. : Akileta stock alete new models : Na asi employ mtu kwanza, shida ya mayouth ni kujionyesha. Aeke pride kando na afocus God atahelp yeye. : Alafu ashike friendship na business people wake hiyo mtaa wampee ideas mob na biz itakuwa poa. : Asiache Mungu. Mungu ni Kila kitu. Asieke watu kwa biz akae ngumu Hadi mambo ake ikuwe sawa. Alafu aeke bidii ajitume na mambo itakuwa sawa.

0
0
0