
💪The 4A's una-need ku-sell.
-
Acceptability Make sure product/service yako ina-meet customer expectations.
-
Affordability Customers wako willing na wanaweza ku-buy na price offer yako.
-
Accessibility Product/service yako inapatikana rahisi.
-
Awareness Make sure customers wanajua product/service yako poa na benefits watapata.

0
0
0