Customer Database:
Unajua customers wako ni akina nani?
Wananunua bidhaa kwako mara ngapi kwa siku/wiki/mwezi?
Ni customers wepi hukuletea sales kwa wingi(idadi kubwa ya sales)?
Je, uko na database ya customers wako wote? Na hii info unaifanyia nini? ⬇️
Kampuni kubwa ka Safaricom washagundua wale customers ambao huwaletea revenues kubwa, ni akina nani-purchasing habits zao, na products ambazo zinawafaa e.g. data-homefibre or office packages.
Ukijua habits za customers wako, utajua ku-design products ambazo zinawafaa.
0
0
0