
The best way ni kuangalia ni kwanza ulibuy how much like hio stock then pia kama maybe kuna doo ulitumia ya transport ukiendea or maybe doo ya delivery then next utaangalia market price azin kwa market hio book ama drink Ina range from how much to how much,ndio pia usikuwe too expensive coz itafanya wasee wasi nunue then utakuwa umefukuza customer but pia usijifinyilie sana alafu pia utangalia doo ya shop yako kama ni rent ama kibanda like ni how much ....... So hapo ndio uta calculate umespend how much in total or end of the month utakuwa umespend how much in total then sa utajua ku place price ya hio book or drink keeping in mind unafaa kuu make profit kulingana na doo umespend in total
0
0
0