
The best way ya kucome up na good pricing system ni number: 1.angalia the recommended retail price yenye your supplier atakupea this itakuhelp usiundercharge na pia usiovercharge your customers. 2. Do a stock check on your area ndio ujue wat competitors wako wanauza izo products at how much 3. Everytime unanunua the products always check the invoices from apo pia utakuwa able kudecide on your pricing system of the goods. 4. Gather feedback from customers by doing this utakuwa able kujua your targeted customers upate izo products at how much so from apo unaeza jua design ya kuset your prices 5. Determine value ya goods zako by doing this utakuwa able kucalculate Bei unafaa kuuza ndio usiende loss na pia usimake a big profit due to overcharging