
The challenge I faced this year but I learnt from it ni kukosa kurenew my business license and permit on time! Ningependa kushow wasee hapa mesh kuwa, hizi ni one of the challenges zinaweza kuwa avoided, kuwa prompt, na payment ya hizi ju lazima gava ikiwa imeregulate kitu ifanyike #CelebratingFailures
0
0
0