
The first day nilienda kuuza nilikuwa nasurvey nione vile kunaenda na nilicollect data ....so nilikuwa naona maji na soda spectators wanapenda sana kwanza baridi kama kuna jua,, , na kitu niliona pale inaeza enda ni popcorns pia juu hakuna msee ako nayo,, na vile ntaanza kuongea na management ndio sijui pia juu machine nayo nakwanga nayo iko tu hapa ,,, so how should i go about it na what should i expect from management once nimepata courage ya kuenda kuulizia juu kitu nataka sana sana hapo ni source of power hizi zingine zote naeza pata kama stand ya kuekelea iyo machine ...ningependa kuwa tu unique kabisaa na iyo popcorn niliona itaweza mbaya but what should i expect from the management team ? 🤔
#meshchallenge #tujengane #hustle
0
0
0