
The first thing kukam kwa mind ni business ya mayai. Hii inadai less than 1k kuanza ju mayai ni 300 tray moja, nyanya za 30 na vitunguu za 20 bob. So ukiongezea mafuta ya 50 bob na chumvi ya 10bob then unapata total ya 410 hapo hivyo. Then yai moja ni 20 bob so uki multiply hii pesa unapata umeget 600 kwa mayai 30. So profit yako ni 600-410=190 bob so ukimek kuuza create mbili hiyo 380 which ukiweka per month ni kitu kama 380×30=11, 400 which ni enough kuji sustain kimaisha pia ukiwa tu mjanja. #Meshers leggo💯
0
0
0