
THE HUSTLE CULTURE DEBATE
Is Hustle 💪 Culture necessary for success , or is it harming entrepreneurs?
"Hustle culture ni lifestyle ya kukazana mbaya bila kupumzika, ukiwa focused tu kwa kazi na success. Ni vibe ya “no sleep, just grind” where people believe ni lazima uweke effort nonstop ili ufike juu. Shida ni inaweza kukuchokesha mentally na physically, juu hakuna balance kati ya kazi na life."
0
0
0