The issue na KRA bado inasumbua SMEs, wadau nko na swali, kama wewe unalipa kanjo daily, kuna haja ya kulipa tena tax Kwa KRA? Naomba maoni yenu.