
The journey to success huundwa step by step. Kama entrepreneur, ni poa kujifunza kugrow by starting small as you understand your target market, customer demands na flow ya wateja. Talking of that do you know biz ya kuuza smokies na boiled eggs inaeza kutoa block! Kua msafi na ukue unique, utakula profit poa. Talking of unique I mean positioning yako ikue place Wasee wanapita more often, unda good and fresh kachumbari. Usiunde eggs and smokies mob, understand customer flow coz ikibaki no one likes food imelala utachoma!

0
0
0