
The Kenya Film Commission is inaplan kuweka a Capacity Building Workshop in Kibera, Nairobi county from 25th to 30th September 2023. For registration and enquiries, send an email to info@filmingkenya.go.ke Wewe kama a perfoming artist hii initiative iko fitii ama ni kitu haitasaidia community???🤔ebu tuchapiane maoni yako ni gani meshers??

0
0
0