
The new features ni awesome sana. Loading speed and ku navigate through all menu ni easy. Like vile hio story ya upvote; walk from the tradition ya Like. Ile feature natege sana ni reshare posts (design kama retweet). Then introduction ya verified hustla; wase wenye team mesh wameconfirm accounts zinamatch na ile hustle msee anachapa. Halafu a revamp ya home menu, design msee anaeza weka zile post za account hawezi kosa. That way aki log in hapitwi sana na post vital.
But generally the entire interface ni 🔥🔥🔥 saaana tena. Speeds zimechange kuwa smooth mbaya. Halafu use of hashtag pia imekuwa smooth kusaidia kucheck post zenye unarelate nazo. #MESHupdates #NewMESH #MESHviews #AskMESH
0
0
0