
The one thing usually limit us at times as youths nikuangalia watu watafikiria nini ukifanya hio hustle, ati since uli graduate na papers za course flani. Me kitu naeza kuambia usi mind mtu atasema nini as long as unafanya biz legit....ka ni kuuza mayai, other sales etc changamkia na at the end of the day unapata unga yako
0
0
0