
The other day nlikua nauliza @[Mitumba Bales] mbona Biz ya Mtush inaeza anguka. This is what alisema;
- Lack of information. Wasee sometimes huingia kwa biz bila kukua na enough info and the rules plus government laws in that business venture. -Display of items. Hii nayo Wasee wengi hatujui, display ya items unauza itavutia wateja na pia itawasaidia kujua ni items zipi unauza kwa shop yako. -Debts. Madeni huchangia sana downfall ya biz mob, ni poa kujipanga kifedha, avoid unnecessary loan. In fact I advise usichukue loan kuanza biz, use it kuboost if only kuna demand but insufficient supply, kua na strategy ya kurepay madeni.
We didn't talk about issues zote zenye huangusha biz ya Mtush gani ingine nimesahau? Share na sisi kwa comments section below 👇
0
0
0