
The past week the conversation imekuwa on Chat GPT 4, with several tech geeks signing petition ya ku stop advancement ya AI bila regulations. Wewe kama mesher umekuwa ukifuatilia hii gumzo una support the tech geeks ama ungependa kuona less regulated Open AI available kwa public?

0
0
0