
The rainy season is here🤗🤗
wewe kama hawker or retailer how is the rain affecting you positively or negatively?
some businesses pia ukua na favourable weather condition for example kwa mama mboga, mvua inafanya apate fresh farm produces but pia inaeza leta ngori kwa kibanda yake most especially mtu kibanda yake si strong ama haina shelter itakua mbaya kwake ..
tuchapiane comment kwa section and how pia to make it favour yiu the most
0
0
0