
The reason i Quit alcohol is because I found myself doing very stupid things, Kuna siku nimeongelesha mrembo hapo ngara 20minutes ananilenga tu,she had a size8 figure kama ile chupa ya fanta,nikaamua kumuangalia uso, kumbe ni hizi madolly huvalishwa nguo na wamama wa botique buana
0
0
0