
The right time kushift from one business to another is when people flood the market.Kama unauza necklace ksh700 alafu watu wengi wanaanza kuuza ksh400 ju wanabuy in bulk.Kama huna ability ya kubuy in bulk ndio you maximise profits it is the time to think of another business
0
0
0