
The Sachet Economy.
Nimeona story mahali that Kadogo Economy is back in a big way saa hii.
Cooking Oil and Milk ATMs za kupima zimeshika kushika.
Sugar, tea leaves, omo ya kufua, sachets zinasonga.
How true is this?
Tushow vile situation iko kwa ground.

0
0
0